Yanayojiri

SOKA:Francesco Totti aachana na AS Roma kama mkurugenzi wa ufundi.CECAFA:Simba SC na Yanga SC zajiondoa kushiriki Kagame Cup 2019 nchini Rwanda.CECAFA:TP Mazembe, DC Motema Pembe, AS Vita Club na Zesco United kushiriki Kagame Cup 2019 nchini Rwanda.AFCON 2019:Kundi A DR Congo,Misri, Uganda, Zimbabwe. Kundi B Burundi, Guinea, Madagascar, Nigeria. Kundi C Algeria, Kenya, Senegal, Tanzania. Kundi D Ivory Coast, Morocco, Namibia, Afrika Kusini. Kundi E Angola, Mali, Mauritania, Tunisia. Kundi F Benin, Cameroon, Ghana, Guinea-Bissau. CECAFA: Tanzania mwenyeji wa CECAFA Senior Challenge Cup 2019 Wanawake.CECAFA: Kenya mwenyeji wa CECAFA 2019 U-17 Wanawake. CECAFA: Uganda kuandaa CECAFA Senior Challenge Cup 2019.CECAFA::Eritrea kuandaa CECAFA Challenge Cup 2019 ya U-17.CECAFA:Rwanda mwenyeji CECAFA Kagame Cup 2019.CECAFA:Uganda mwenyeji CECAFA Challenge Cup 2019 ya U-20 Wanawake.

ndondi

Viongozi wa ndondi wataka watambuliwe

Na Charles Charonga

Jumatano, Januari 03, 2018

Viongozi wa ndondi katika Kaunti ya Mombasa nchini Kenya wameiomba Chama cha Ndondi Nchini humo(BAK), kuwaruhusu mabondia wa kutoka Mombasa kushiriki katika mapigano ya kuteua kikosi cha timu ya taifa hilo.

Endelea kusoma

Chapa Barua pepe

‘Hit Squad’ ya Kenya yapata vifaa vya mazoezi ya kujiandaa kwa Commonwealth Games

Na Charles Charonga

Jumapili, Machi 18, 2018

Kikosi cha timu ya taifa ya ndondi cha Kenya ‘Hit Squad’ kimepata afueni baada ya kupokea vifaa vya kufanyia mazoezi watakazozitumia kujitayarisha kushiriki Mashindano ya Michezo ya Jumuia ya Madola yatakayofanyika huko Gold Coast nchini Australia, mwezi ujao wa Aprili.

Endelea kusoma

Chapa Barua pepe

Share

Dula - Bila wewe

Kocha wa Bandari FC Twahir Muhidin