Yanayojiri

SOKA:Francesco Totti aachana na AS Roma kama mkurugenzi wa ufundi.CECAFA:Simba SC na Yanga SC zajiondoa kushiriki Kagame Cup 2019 nchini Rwanda.CECAFA:TP Mazembe, DC Motema Pembe, AS Vita Club na Zesco United kushiriki Kagame Cup 2019 nchini Rwanda.AFCON 2019:Kundi A DR Congo,Misri, Uganda, Zimbabwe. Kundi B Burundi, Guinea, Madagascar, Nigeria. Kundi C Algeria, Kenya, Senegal, Tanzania. Kundi D Ivory Coast, Morocco, Namibia, Afrika Kusini. Kundi E Angola, Mali, Mauritania, Tunisia. Kundi F Benin, Cameroon, Ghana, Guinea-Bissau. CECAFA: Tanzania mwenyeji wa CECAFA Senior Challenge Cup 2019 Wanawake.CECAFA: Kenya mwenyeji wa CECAFA 2019 U-17 Wanawake. CECAFA: Uganda kuandaa CECAFA Senior Challenge Cup 2019.CECAFA::Eritrea kuandaa CECAFA Challenge Cup 2019 ya U-17.CECAFA:Rwanda mwenyeji CECAFA Kagame Cup 2019.CECAFA:Uganda mwenyeji CECAFA Challenge Cup 2019 ya U-20 Wanawake.

Msimu mpya wa ligi kuu ya Voliboli nchini Kenya kuanza

Na: DLM

Shirikisho la mchezo wa mpira wa Wavu nchini Kenya, KVF limetoa ratiba ya mechi za mkondo wa kwanza za msimu mpya wa ligi kuu nchini humo itakayofanyika mjini Nakuru kuanzia wikendi ya Februari 27 mwaka huu 2015.

Ligi hiyo ya wanawake na wanaume ambayo itadhaminiwa na kampuni ya Kenya Pipeline, inatarajiwa kuwa ngumu kutokana na kuongezeka kwa udhamin mnono.

Timu ya Kenya Pipeline ambao ni mabingwa upande wa wanawake, wataanza kucheza dhidi ya Nairobi Queens huku Kenya Prisons wakianza kutetea ubingwa wao kwa kupambana na Kenya Airways upande wa wanaume.

Ratiba kamili

Wanaume

Kiambu Vs AP Kenya

GSU Vs Oserian

Kenya Prison Vs Kenya Airways

Forest Rangers Vs MKU

KDF Vs Prisons Mombasa

KPA Vs Finlays

Coop Bank Vs Prisons Kenya

Bungoma County Kenya s Vihiga County

Kiambu County Vs Oserian

GSU Vs Kenya Airways

Kenya Prisons Vs MKU

Forest Rangers Vs Mombasa Prisons 

KDF Vs Finlays

KPA Vs Kenya Prisons 

Coop Bank Vs Vihiga County

Bungoma County Vs AP Kenya

Wanawake

MKU Vs Oserian

KCB Vs Nairobi Water

Nairobi Queens Vs KPC

Bungoma County Vs Prisons

Kenya Academy Vs KDF

MKU Vs Nairobi Water

KCB Vs KPC

Nairobi Queens Vs Prisons

Bungoma County Vs KDF

Kenya Academy Vs Oserian

Chapa Barua pepe

Share

Dula - Bila wewe

Kocha wa Bandari FC Twahir Muhidin