Yanayojiri

Afcon Qualifier 2021:Kundi A: Namibia, Mali, Guinea, Chad. Kundi B: Uganda, Sudan Kusini, Malawi, Burkina Faso. Kundi C: Sudan, Ghana, Afrika Kusini, Sao Tome na Principe. Kundi D: Gambia, Gabon, DR Congo, Angola. Kundi E: Morocco, Mauritania, Jamhuri ya Kati, Burundi. Kundi F: Rwanda, Msumbiji, Cape Verde, Cameroon (mwenyeji). Kundi G: Togo, Kenya, Misri, Comoros. Kundi H: Zimbabwe, Zambia, Botswana, Algeria (Watetezi). Kundi I: Senegal, Guinea-Bissau, eSwatini (zamani Swaziland), Congo Brazzaville. Kundi J: Tunisia, Tanzania, Libya, Equatorial Guinea. Kundi K: Niger, Madagascar, Ivory Coast, Ethiopia. Kundi L: Sierra Leone, Nigeria, Lesotho, Benin.Afcon Qualifier 2021:Jumatano, Novemba 13, 2019. Namibia v Chad, Burkina Faso v Uganda, Malawi v Sudan Kusini, Sudan v Sao Tome na Principe, Angola v Gambia, Jamhuri ya Kati v Burundi, Cameroon v Cape Verde, Senegal v Congo Brazaville, Guinea-Bissau v E-eSwatini, Nigeria v Benin, Sierra Leone v Lesotho.. Afcon Qualifier 2021:Alhamisi, Novemba 14, 2019. Mali v Guinea, Ghana v Afrika Kusini, DR Congo, Msumbiji v Rwanda, Misri v Kenya, Togo v Comoros, Algeria v Zambia.Afcon Qualifier 2021:Ijumaa, Novemba 15, 2019. Morocco v Mauritania, Zimbabwe v Botswana, Tunisia v Libya, Tanzania v Equatorial Guinea.Afcon Qualifier 2021:Jumamosi, Novemba 16, 2019. Ivory Coast v Niger, Madagascar v Ethiopia.Afcon Qualifier 2021:Jumapili, Novemba 17, 2019. Guinea v Namibia, Chad v Mali, Uganda v Malawi, Sudan Kusini v Burkina Faso, Afrika Kusini v Sudan. CECAFA: Tanzania mwenyeji wa CECAFA Senior Challenge Cup 2019 Wanawake.CECAFA: Kenya mwenyeji wa CECAFA 2019 U-17 Wanawake. CECAFA: Uganda kuandaa CECAFA Senior Challenge Cup 2019.CECAFA::Eritrea kuandaa CECAFA Challenge Cup 2019 ya U-17.CECAFA:Rwanda mwenyeji CECAFA Kagame Cup 2019.CECAFA:Uganda mwenyeji CECAFA Challenge Cup 2019 ya U-20 Wanawake.

Makala

Njuguna Joseph ni kipa mwenye ujasiri langoni.

 

Na Francis Mudzo

Jumatano Januari 6, 2016

Ni golikipa wa kupigiwa mfano na anayekuja kwa kasi ya kutisha kwenye eneo la kaunti ndogo ya Mwihoko katika kaunti ya Kiambu nchini Kenya huyu sio mwengine ila Njuguna Joseph mwenye umri wa miaka 15 anayetoa huduma zake kwa kituo cha kukuza soka ya vijana ya Changes Soccer Academy.

Soma Zaidi

Chapa Barua pepe

Chipukizi wa MYSA Nairobi wanavyotamba Afrika Mashariki.

 

Na Musa Charonga

Jumapili Agosti 16, 2015

Chama cha Mathare Youth Sports Association (MYSA) kilichoko kwenye mtaa wa mabanda wa Mathare katika Kaunti ya Nairobi nchini Kenya, ni kati ya vituo vichache nchini humo vya soka ambavyo vimefaulu kwa kiwango kikubwa zaidi kukuza vipawa hasa vya soka katika taifa hilo.

Soma Zaidi

Chapa Barua pepe

Vijana Sports Club FC bado inavuma Kwale nchini Kenya.

 

Na Francis Mudzo

Ijumaa Aprili 8, 2016

Kama wasemavyo wakale kwamba jina hubakia kutokana na matendo mema yaliyoachwa hii ni sawa na timu Vijana Sports Club FC iliyoanzishwa miaka ya 70 katika kitongoji cha Mwena tarafa ya Lunga Lunga eneo bunge la Lunga lunga katika kaunti ya Kwale nchini Kenya na waasisi wake wengi kutangulia mbele za haki. 

Soma Zaidi

Chapa Barua pepe

Mantubila FC bado iko imara Bamburi Mombasa.

 

 

Na Musa Charonga

Ijumaa Novemba 27, 2015

Mantubilla FC ni kati ya timu kongwe zaidi za soka kwenye mtaa wa Kiembeni ulioko Bamburi eneo bunge la Kisauni katika kaunti ya Mombasa nchini Kenya ambayo licha ya kukabiliwa na pandashuka chungu tele, bado ingali imara.

Soma Zaidi

Chapa Barua pepe

Ni mlinda mlango anaye sifika kwa kudaka tuta.

 

Jumamosi Novemba 21, 2015

Na Francis Mudzo

Abubakar Kassim ni mlinda mlango ambaye anaendeleza ushujaa na sifa zake za udakaji wa mikwaju ya penalti tangu miaka ya 1994 alipokuwa akiichezea timu za Galaxy FC na Mivotaker kwenye eneo bunge la Changamwe katika kaunti ya Mombasa nchini Kenya.

Soma Zaidi

Chapa Barua pepe

Share

Powered by OrdaSoft!

Dula - Bila wewe

Kocha wa Bandari FC Twahir Muhidin