Yanayojiri

Afcon Qualifier 2021:Kundi A: Namibia, Mali, Guinea, Chad. Kundi B: Uganda, Sudan Kusini, Malawi, Burkina Faso. Kundi C: Sudan, Ghana, Afrika Kusini, Sao Tome na Principe. Kundi D: Gambia, Gabon, DR Congo, Angola. Kundi E: Morocco, Mauritania, Jamhuri ya Kati, Burundi. Kundi F: Rwanda, Msumbiji, Cape Verde, Cameroon (mwenyeji). Kundi G: Togo, Kenya, Misri, Comoros. Kundi H: Zimbabwe, Zambia, Botswana, Algeria (Watetezi). Kundi I: Senegal, Guinea-Bissau, eSwatini (zamani Swaziland), Congo Brazzaville. Kundi J: Tunisia, Tanzania, Libya, Equatorial Guinea. Kundi K: Niger, Madagascar, Ivory Coast, Ethiopia. Kundi L: Sierra Leone, Nigeria, Lesotho, Benin.Afcon Qualifier 2021:Jumatano, Novemba 13, 2019. Namibia v Chad, Burkina Faso v Uganda, Malawi v Sudan Kusini, Sudan v Sao Tome na Principe, Angola v Gambia, Jamhuri ya Kati v Burundi, Cameroon v Cape Verde, Senegal v Congo Brazaville, Guinea-Bissau v E-eSwatini, Nigeria v Benin, Sierra Leone v Lesotho.. Afcon Qualifier 2021:Alhamisi, Novemba 14, 2019. Mali v Guinea, Ghana v Afrika Kusini, DR Congo, Msumbiji v Rwanda, Misri v Kenya, Togo v Comoros, Algeria v Zambia.Afcon Qualifier 2021:Ijumaa, Novemba 15, 2019. Morocco v Mauritania, Zimbabwe v Botswana, Tunisia v Libya, Tanzania v Equatorial Guinea.Afcon Qualifier 2021:Jumamosi, Novemba 16, 2019. Ivory Coast v Niger, Madagascar v Ethiopia.Afcon Qualifier 2021:Jumapili, Novemba 17, 2019. Guinea v Namibia, Chad v Mali, Uganda v Malawi, Sudan Kusini v Burkina Faso, Afrika Kusini v Sudan. CECAFA: Tanzania mwenyeji wa CECAFA Senior Challenge Cup 2019 Wanawake.CECAFA: Kenya mwenyeji wa CECAFA 2019 U-17 Wanawake. CECAFA: Uganda kuandaa CECAFA Senior Challenge Cup 2019.CECAFA::Eritrea kuandaa CECAFA Challenge Cup 2019 ya U-17.CECAFA:Rwanda mwenyeji CECAFA Kagame Cup 2019.CECAFA:Uganda mwenyeji CECAFA Challenge Cup 2019 ya U-20 Wanawake.

Michezo

Kenya yaangushwa na Jamaica katika mbio za mita 3000

Na Dawati La Michezo

Jumatano, Aprili 11, 2018

Kenya imekosa medali ya dhababu katika mbio za Mita 3000 kuruka viunzi na maji kwa upande wa wanawake, katika michezo ya Jumuiya ya Madola inayoendelea nchini Australia, baada ya Mjamaica Aisha Praught kumaliza wa kwanza kwa muda wa dakika 9 na sekunde 21.

Endelea kusoma

Chapa Barua pepe

Kenya Open Golf Championship 2019 kufadhiliwa zaidi Mashindano yakianza

Na Anthony Aroshee

Jumatatu, Januari 28, 2019

Serikali ya Kenya, kupitia wizara ya Utalii na ile ya Michezo, ni miongoni mwa wafadhili watakaoendelea kufadhili zaidi Mashindano ya mchezo wa Gofu katika vitengo mbali mbali ya kuwania taji la Kenya Open Golf Championship ya mwaka huu 2019, ambayo yatafanyika Karen Country Club kati ya Machi 14 na 17, jijini Nairobi.

Endelea kusoma

Chapa Barua pepe

Usain Bolt: Nasikitishwa na nafasi aliyoipata Yohan Blake

Na Dawati La Michezo

Alhamisi, Aprili 12, 2018

Mwanariadha mstaafu na bingwa wa mbio za Mita 100 anayeshikilia rekodi ya dunia Mjamaika Usain Bolt amesema, mwanariadha Yohan Blake aliyewakilisha nchi yake katika mbio za Mita 100 katika michezo ya Jumuiya ya Madola inayoendelea nchini Australia, hajafanya vizuri kwa kutetea Jamaika.

Endelea kusoma

Chapa Barua pepe

Share

Powered by OrdaSoft!

Dula - Bila wewe

Kocha wa Bandari FC Twahir Muhidin