Yanayojiri

SOKA:Francesco Totti aachana na AS Roma kama mkurugenzi wa ufundi.CECAFA:Simba SC na Yanga SC zajiondoa kushiriki Kagame Cup 2019 nchini Rwanda.CECAFA:TP Mazembe, DC Motema Pembe, AS Vita Club na Zesco United kushiriki Kagame Cup 2019 nchini Rwanda.AFCON 2019:Kundi A DR Congo,Misri, Uganda, Zimbabwe. Kundi B Burundi, Guinea, Madagascar, Nigeria. Kundi C Algeria, Kenya, Senegal, Tanzania. Kundi D Ivory Coast, Morocco, Namibia, Afrika Kusini. Kundi E Angola, Mali, Mauritania, Tunisia. Kundi F Benin, Cameroon, Ghana, Guinea-Bissau. CECAFA: Tanzania mwenyeji wa CECAFA Senior Challenge Cup 2019 Wanawake.CECAFA: Kenya mwenyeji wa CECAFA 2019 U-17 Wanawake. CECAFA: Uganda kuandaa CECAFA Senior Challenge Cup 2019.CECAFA::Eritrea kuandaa CECAFA Challenge Cup 2019 ya U-17.CECAFA:Rwanda mwenyeji CECAFA Kagame Cup 2019.CECAFA:Uganda mwenyeji CECAFA Challenge Cup 2019 ya U-20 Wanawake.

Handiboli

Handiboli: NCPD, Strathmore, Rising Starlets zaibuka kidedea ligi Handiboli Kenya

Na Anthony Aroshee

Jumatano, Septemba 25, 2019

Timu ya Bodi ya nafaka nchini NCPD, Strathmore na Rising Starlets zilifanikiwa kushinda mechi za ligi ya Taifa katika mchezo wa Mpira wa Mikono nchini Kenya upande wa Wanawake na Wanaume zilizochezwa Uwanjani Kaloleni eneo bunge la Makadara Kaunti ya Nairobi, mwishoni mwa juma lililopita.

Endelea kusoma

Chapa Barua pepe

Mount Kenya University na Nairobi Water wang’ara katika Ligi ya Taifa Handiboli Kenya

Na Anthony Aroshee

Jumapili, Februari 10, 2019

Phinora Oliro na Sarah Gitu waliisaidia Mount Kenya University Thika kuilaza Kenyatta University huku Gladys Chila akiiongoza Nairobi Water kupata ushindi dhidi ya Ulinzi Sharks mechi za Ligi ya Taifa Mchezo wa Mpira wa Mikono(handiboli), Upande wa Wanawake, nchini Kenya.

Endelea kusoma

Chapa Barua pepe

JKUAT, NCPB, Ulinzi, Kenyatta University wapata ushindi Ligi ya Taifa Handiboli Kenya

Na Anthony Aroshee

Jumatano, Februari 13, 2019

Timu za JKUAT, NCPB, Ulinzi na Kenyatta University zilifanya vizuri kwa kushinda mechi za Ligi ya Taifa katika Mchezo wa Mpira wa Mikono(handiboli) nchini Kenya, Upande wa Wanaume, zilizofanyika Jumamosi iliyopita kwenye Uwanja wa Kaloleni eneo bunge la Makadara Kaunti ya Nairobi.

Endelea kusoma

Chapa Barua pepe

Share

Powered by OrdaSoft!

Dula - Bila wewe

Kocha wa Bandari FC Twahir Muhidin