Yanayojiri

SOKA:Francesco Totti aachana na AS Roma kama mkurugenzi wa ufundi.CECAFA:Simba SC na Yanga SC zajiondoa kushiriki Kagame Cup 2019 nchini Rwanda.CECAFA:TP Mazembe, DC Motema Pembe, AS Vita Club na Zesco United kushiriki Kagame Cup 2019 nchini Rwanda.AFCON 2019:Kundi A DR Congo,Misri, Uganda, Zimbabwe. Kundi B Burundi, Guinea, Madagascar, Nigeria. Kundi C Algeria, Kenya, Senegal, Tanzania. Kundi D Ivory Coast, Morocco, Namibia, Afrika Kusini. Kundi E Angola, Mali, Mauritania, Tunisia. Kundi F Benin, Cameroon, Ghana, Guinea-Bissau. CECAFA: Tanzania mwenyeji wa CECAFA Senior Challenge Cup 2019 Wanawake.CECAFA: Kenya mwenyeji wa CECAFA 2019 U-17 Wanawake. CECAFA: Uganda kuandaa CECAFA Senior Challenge Cup 2019.CECAFA::Eritrea kuandaa CECAFA Challenge Cup 2019 ya U-17.CECAFA:Rwanda mwenyeji CECAFA Kagame Cup 2019.CECAFA:Uganda mwenyeji CECAFA Challenge Cup 2019 ya U-20 Wanawake.

Magari

Lewis Hamilton ni Bingwa wa Dunia mara tatu

Lewis Hamilton ashinda ubingwa wa dunia katika mashindano ya Formular One Dereva Lewis Hamilton ametwa taji lake la pili katika mashindano ya magari ya langlanga Formular One baada ya kushinda katika mashindano ya Abu Dhabi Grand Prix siku ya jumapili.

Hamilton, raia kutoka Uingereza, alimshinda mwenzake Nico Rosberg wote kutoka kampuni ya Mercedes Benz. Huo ni ushindi wa 11 kwa Hamilton msimu huu huku Rosberg akimaliza msimu akiwa na mataji tano. 

Soma zaidi

Chapa Barua pepe

Share

Powered by OrdaSoft!

Dula - Bila wewe

Kocha wa Bandari FC Twahir Muhidin