Yanayojiri

SOKA:Francesco Totti aachana na AS Roma kama mkurugenzi wa ufundi.CECAFA:Simba SC na Yanga SC zajiondoa kushiriki Kagame Cup 2019 nchini Rwanda.CECAFA:TP Mazembe, DC Motema Pembe, AS Vita Club na Zesco United kushiriki Kagame Cup 2019 nchini Rwanda.AFCON 2019:Kundi A DR Congo,Misri, Uganda, Zimbabwe. Kundi B Burundi, Guinea, Madagascar, Nigeria. Kundi C Algeria, Kenya, Senegal, Tanzania. Kundi D Ivory Coast, Morocco, Namibia, Afrika Kusini. Kundi E Angola, Mali, Mauritania, Tunisia. Kundi F Benin, Cameroon, Ghana, Guinea-Bissau. CECAFA: Tanzania mwenyeji wa CECAFA Senior Challenge Cup 2019 Wanawake.CECAFA: Kenya mwenyeji wa CECAFA 2019 U-17 Wanawake. CECAFA: Uganda kuandaa CECAFA Senior Challenge Cup 2019.CECAFA::Eritrea kuandaa CECAFA Challenge Cup 2019 ya U-17.CECAFA:Rwanda mwenyeji CECAFA Kagame Cup 2019.CECAFA:Uganda mwenyeji CECAFA Challenge Cup 2019 ya U-20 Wanawake.

Riadha

Asbel Kiprop: Sijawahi kutumia dawa aina ya EPO

Na Dawati La Michezo

Jumanne, Mei 15, 2018

Mwanariadha kutoka nchini Kenya Asbel Kiprop, bingwa wa mbio za Mita 1500 katika Mashindano ya dunia na Olimpiki amekuwa na wakati mgumu katika siku za hivi karibuni baada ya ripoti kuwa amekuwa akitumia dawa zilizopigwa marufuku ili kumsaidia kupata ushindi katika mashindano mbalimbali.

Endelea kusoma

Chapa Barua pepe

Mkenya David Rudisha ashindwa mbio za China

 

Na Dawati La Michezo

Jumamosi, Mei 13, 2017

Bingwa mara mbili wa michezo ya Olimpiki mbio za mita 800 David Rudisha ameanza vibaya msimu mpya wa riadha huko China Jumamosi lakini Wakenya wenzake Faith Kipyegon na Hellen Obiri wakaibuka washindi kwenye mbio zao.

soma zaidi

Chapa Barua pepe

Wanariadha 4 wavunja rekodi Mashindano ya Riadha Shule za Msingi Mkoani Pwani Kenya

Na Anthony Aroshee

Jumatano, Aprili 04, 2018

Wanariadha wanne Rajab Manyeso, Juma Nduni, Mkande Mangale na Kadzo Liungwe walivunja rekodi katika Mashindano ya Riadha ya Shule za Msingi Mkoani Pwani nchini Kenya, zilizoanza Jumatano Aprili 04, 2018 kwenye Uwanja wa Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Ualimu cha Shanzu katika Kaunti ya Mombasa.

Endelea kusoma

Chapa Barua pepe

Kenya yapata medali ya dhahabu katika mbio maalum ya Kilomita nane

 

Na Dawati La Michezo

Jumanne, Machi 28, 2017

Kenya imeshinda medali ya kwanza ya dhahabu katika mashidano mapya ya riadha ya kupokezana kitambaa baina ya wanariadha wa kiume na kike katika mashindano ya dunia ya nyika yaliyofanyika siku ya Jumapili iliyopita katika uwanja wa Kololo jijini Kampala nchini Uganda.

soma zaidi

Chapa Barua pepe

  • 1
  • 2

Share

Powered by OrdaSoft!

Dula - Bila wewe

Kocha wa Bandari FC Twahir Muhidin