Yanayojiri

Afcon Qualifier 2021:Kundi A: Namibia, Mali, Guinea, Chad. Kundi B: Uganda, Sudan Kusini, Malawi, Burkina Faso. Kundi C: Sudan, Ghana, Afrika Kusini, Sao Tome na Principe. Kundi D: Gambia, Gabon, DR Congo, Angola. Kundi E: Morocco, Mauritania, Jamhuri ya Kati, Burundi. Kundi F: Rwanda, Msumbiji, Cape Verde, Cameroon (mwenyeji). Kundi G: Togo, Kenya, Misri, Comoros. Kundi H: Zimbabwe, Zambia, Botswana, Algeria (Watetezi). Kundi I: Senegal, Guinea-Bissau, eSwatini (zamani Swaziland), Congo Brazzaville. Kundi J: Tunisia, Tanzania, Libya, Equatorial Guinea. Kundi K: Niger, Madagascar, Ivory Coast, Ethiopia. Kundi L: Sierra Leone, Nigeria, Lesotho, Benin.Afcon Qualifier 2021:Jumatano, Novemba 13, 2019. Namibia v Chad, Burkina Faso v Uganda, Malawi v Sudan Kusini, Sudan v Sao Tome na Principe, Angola v Gambia, Jamhuri ya Kati v Burundi, Cameroon v Cape Verde, Senegal v Congo Brazaville, Guinea-Bissau v E-eSwatini, Nigeria v Benin, Sierra Leone v Lesotho.. Afcon Qualifier 2021:Alhamisi, Novemba 14, 2019. Mali v Guinea, Ghana v Afrika Kusini, DR Congo, Msumbiji v Rwanda, Misri v Kenya, Togo v Comoros, Algeria v Zambia.Afcon Qualifier 2021:Ijumaa, Novemba 15, 2019. Morocco v Mauritania, Zimbabwe v Botswana, Tunisia v Libya, Tanzania v Equatorial Guinea.Afcon Qualifier 2021:Jumamosi, Novemba 16, 2019. Ivory Coast v Niger, Madagascar v Ethiopia.Afcon Qualifier 2021:Jumapili, Novemba 17, 2019. Guinea v Namibia, Chad v Mali, Uganda v Malawi, Sudan Kusini v Burkina Faso, Afrika Kusini v Sudan. CECAFA: Tanzania mwenyeji wa CECAFA Senior Challenge Cup 2019 Wanawake.CECAFA: Kenya mwenyeji wa CECAFA 2019 U-17 Wanawake. CECAFA: Uganda kuandaa CECAFA Senior Challenge Cup 2019.CECAFA::Eritrea kuandaa CECAFA Challenge Cup 2019 ya U-17.CECAFA:Rwanda mwenyeji CECAFA Kagame Cup 2019.CECAFA:Uganda mwenyeji CECAFA Challenge Cup 2019 ya U-20 Wanawake.

TOURNAMENTS

Sheria mpya za soka kujaribiwa kombe la Euro 2016.

 

Na Dawati La Michezo

Jumamosi, Juni 11 2016

Sheria mpya za Soka ambazo ziliamuliwa na bodi ya shirikisho la kimataifa la mpira wa miguu, na ambazo zimeanza kufanya kazi kuanzia Juni mosi mwaka huu, kwa mara ya kwanza zitashuhudiwa zikitumika kwenye michuano ya kombe la Euro ya mwaka huu 2016 kwa mataifa ya Ulaya inayoendelea nchini Ufaransa.

Soma Zaidi

Chapa Barua pepe

Mfaransa apanga kushambulia wakati wa michuano ya Euro 2016.

 

Na Dawati La Michezo

Jumatatu, Juni 6 2016

Taarifa za kijasusi za Ukraine zimesema kuwa, mwanamume mmoja raia wa Ufaransa, aliyetiwa mbaroni mwezi uliopita akiwa na silaha hatari na kwa sasa anazuiliwa na polisi, alikuwa anapanga kutekeleza misururu ya mashambulizi wakati wa michuano ya Soka ya kuwania kombe la Euro ya mwaka huu 2016, kwa mataifa ya bara la Ulaya ambayo inatarajiwa kuanza ijumaa ya wiki hii nchini Ufaransa.

Soma Zaidi

Chapa Barua pepe

Equatorial Guinea ni mwenyeji wa michuano ya kombe la AFCON 2015

CAF

Nchi ya Equatorial Guinea imekubali kuwa mwenyeji wa michuano ya kombe la mataifa ya Afrika, AFCON mwakani 2015 baada ya nchi ya Morocco ambayo ilikuwa iwe mwenyeji wa kinyang'anyiro hicho kikubwa barani Afrika kukataa kuandaa kutokana na hofu ya ugonjwa wa Ebola.

Shirikisho la soka barani Afrika, CAF lilitangaza kuiondoa nchi ya Morocco kama mwenyeji wa michuano ya makala ya 30 mwakani kutokana na wakuu wa nchi hiyo kukataa kuandaa kwa kile walichodai hofu ya kuenea kwa virusi vya maradhi ya Ebola.

Endelea kusoma

Chapa Barua pepe

AFCON 2015: Equatorial Guinea yamteua kocha mpya

Na: DLM

Wenyeji wa michuano ya kombe la mataifa ya  Afrika, Equatorial Guinea wamemteua Esteban Becker raia wa Argentina kama kocha mpya akichukua wadhifa ulioachwa na Andoni Goikoetxea.

Becker, mwenye umri wa miaka 50 ambaye amekuwa kocha wa timu ya taifa ya Equatorial Guinea ya wanawake, aliiongoza timu hiyo kutwa ubingwa wa michuano ya kombe la mataifa ya Afrika ya wanawake mwaka 2012.

Soma zaidi

Chapa Barua pepe

AFCON 2015: Morocco yakanusha tuhuma dhidi yake

Na DLM:

Serikali ya Morroco imekanusha madai kuwa inapanga kujiondoa kuwa mwenyeji wa michuano ya soka kuwania kombe la mataifa ya Afrika mapema mwaka ujao kutokana na hofu ya kusambaa kwa ugonjwa hatari wa Ebola. Msemaji wa serikali ya Morroco Mustapha Khalfi, amesema kuwa serikali haitaki kujiondoa ila inataka tu michuano hiyo kuahirishwa kutoka mwezi Januari hadi mwezi Aprili kutokana na hofu ya kuwapo kwa tishio la ugonjwa wa Ebola kwenye nchi nyingi za Afrika Magharibi. Homa ya Ebola imesababisha vifo vya zaidi ya watu elfu nne nchini Liberia, Sierra Leone na Guinea. Shirikisho la soka barani Afrika CAF limesema michuano hiyo haiwezi kuahirishwa kama ilivyopangwa kufanyika kati ya Januari 17 na Februari 8 na huku ikizitaka Ghana na Afrika Kusini kutaka mojawapo ya nchi hizo kuwa mwenyeji ikiwa Morroco watajiondoa. Rais wa CAF Issa Hayatou atasafiri kwenda Morroco mwezi ujao wa Novemba kukutana na viongozi nchini humo kuzungumzia michuano hiyo na tishio la ugonjwa wa Ebola. Afrika Kusini, Ghana na Nigeria, zimesema kuwa haziko tayari kuandaa AFCON ya mwaka ujao 2015.

Chapa Barua pepe

Ufaransa yarudia historia dhidi ya Uruguay

Na Anthony Aroshee

Ijumaa, Julai 6, 2018

Ufaransa imekuwa timu ya kwanza kutinga nusu fainali ya michuano ya kombe la dunia nchini Urusi baada ya kuwachapa Uruguay mabao 2-0 katika mchezo wa robo fainali uliochezwa Ijumaa ya Julai 6 kwenye Uwanja wa Nizhny Novgorod.

Endelea kusoma

Chapa Barua pepe

Share

Dula - Bila wewe

Kocha wa Bandari FC Twahir Muhidin